Nitatoka Hong Kong katika baada ya siku mbili. Ninasikitika kwa sababu nitaacha nyuma familia yangu. Lakini mimi siwezi kusubiri mpaka nitafika Dar. Nimefurahi sana ninaweza kuishi mjini huu tena. Ninapenda sana. Na ninafikiri kazi yangu ni kusisimua sana!

I’m sure I just made a ton of mistakes in that paragraph (the way I used kusisimua is wrong, I’m sure). But I’m learning! It’s also exciting to be picking up Kiswahili again. I love learning new languages. Especially one as useful as Kiswahili.


Comments are closed